1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Shambulizi la bomu Irak limeua watu 6

16 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7FN

Hadi watu 6 wameuawa mjini Baghdad katika shambulizi la bomu lililotegwa ndani ya gari. Wengine 25 pia wamejeruhiwa katika shambulizi hilo ambalo lililenga wanajeshi waliokuwa wakipiga doria.Wanajeshi 2 wa Kiiraki ni miongoni mwa wale waliouawa.