1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Polisi wauawa nchini Irak

12 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBQU

Askaripolisi 6 wa Kiiraki wameuawa kusini mwa Mosul,baada ya kituo chao cha ukaguzi kuvamiwa na washambulizi Jumanne usiku.Katika shambulizi jingine katika mji mkuu Baghdad,raia mmoja aliuawa na wengine 5 walijeruhiwa baada ya bomu lililotegwa kando ya barabara,kuripuka karibu na msafara wa magari ya maafisa wa ulinzi.