Bado watu waokolewa kwenye ghorofa lililobomoka Nairobi | Masuala ya Jamii | DW | 06.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Bado watu waokolewa kwenye ghorofa lililobomoka Nairobi

Karibu wiki moja baada ya ghorofa moja kuporomoka, watu kadhaa wameweza kutolewa kwenye vifusi vya jengo hilo lililopo kwenye mtaa wa Huruma, Nairobi. Majengo yaliyojengwa kiholela yaanza kubomolewa.

Sikiliza sauti 02:49

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada