Bado albino hayuko salama Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 05.03.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Bado albino hayuko salama Tanzania

Mkuu wa kituo kinachowahifadhi watoto wenye ulemavu wa ngozi Shinyanga, Tanzania, Mwalimu Peter Ajali, anasema Tanzania bado si salama kwa watu hao licha ya jitihada kubwa kufanyika.

Kusikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na Mwalimu Peter Ajali, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Khelef

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada