B2 | Marktplatz – Kijerumani cha Biashara | Marktplatz | DW | 18.01.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Marktplatz

B2 | Marktplatz – Kijerumani cha Biashara

Kozi hii ya lugha ya Kijerumani cha Biashara inaangazia nyanja mbalimbali za misamiati na kauli muhimu za biashara, fedha, soko na kandarasi. Kozi inatoa maarifa ya ndani ya utamaduni wa Ujerumani na husaidia kufunza uwezo wako wa tamaduni tofauti. Kozi inaangazia kiwango cha B2 ndani ya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages) na inalenga watu wanaojifunza Kijerumani ambao tayari wana stadi nzuri za Kijerumani.

Kiwango: B2
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili