ATHENS: AC Milan yanyuka Liverpool mabao 2-1 na kutwaa ubingwa wa Ulaya | Habari za Ulimwengu | DW | 24.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ATHENS: AC Milan yanyuka Liverpool mabao 2-1 na kutwaa ubingwa wa Ulaya

Klabu ya AC Milan jana usiku ilitawazwa kuwa mabingwa wa Ulaya baada ya kuikandika Liverpool mabao mawili kwa moja kwenye mechi ya fainali iliyochezewa mjini Athens, Ugiriki.

Mambo yote mawili ya Milan yalitiwa kimiani na Filippo Inzaghi.

Ushindi huo una maana kwamba AC Milan imelipiza kisasi cha mwaka 2005 mjini Istanbul, Uturuki, iliposhindwa na Liverpool kwa mikwaju ya penalti .

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com