ASMARA:Viongozi wa upinzani na wanaharakati wafungwa maisha | Habari za Ulimwengu | DW | 16.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ASMARA:Viongozi wa upinzani na wanaharakati wafungwa maisha

Mahakama kuu nchini Ethiopia imewahukumu wanasiasa na wanaharakati wa upinzani kifungo cha maisha kwa kushiriki katika vurugu za uchaguzi wa mwaka 2005.

Watu kadhaa waliuwawa katika vurugu hizo.

Waendesha mashtaka waliitaka mahakama itoe adhabu ya kifo kwa washtakiwa hao kwa niaba ya watu waliowasilisha mashtaka dhidi yao.

Miongoni mwa watu waliohukumiwa ni viongozi wawili wa mseto wa vyama vya upinzani.

Serikali ya Ethiopia imewalumu watu hao kwa kutaka kuipindua.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com