1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asilimia 60 wafeli kidato cha nne Tanzania

Admin.WagnerD19 Februari 2013

Zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha cha nne nchini Tanzania wamepata sifuri. Kwa mujibu wa serikali ya Tanzania idadi hiyo sawa na Watahiniwa 240,903 ya wanafunzi wote.

https://p.dw.com/p/17guv
Wanafunzi wa Sekondari ya Ingwe Mkoani Mara
North Mara Gold Mine in TansaniaPicha: DW/J. Hahn

Idadi nyingine wengine ambayo sawa na asilimia 5.16 wakitajwa kufaulu katika mtihani huo uliofanywa mwaka jana. Kutoka nchini Tanzania Sudi Mnette amezungumza Godfrey Bonniventura ambae ni Meneja Programu wa Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera Haki Elimu, kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Josephat Charo