AMSTERDAM: Vyama vyashauriana kwa faragha kuhusu kuunda serikali ya muungano. | Habari za Ulimwengu | DW | 03.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

AMSTERDAM: Vyama vyashauriana kwa faragha kuhusu kuunda serikali ya muungano.

Mashauriano yanaendelea nchini Uholanzi ili kuunda serikali ya muungano.

Chama cha mrengo wa kushoto cha Waziri Mkuu wa muda Jan Peter Balkenende kinaendesha mashauriano ya faragha na chama cha Labour na chama kingine kidogo cha kidini.

Jaribio la kwanza la kuunda serikali ya mseto liligonga mwamba mwezi Novemba baada ya vyama husika kukosa kukubaliana kuhusu sera.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com