1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amnesty International yamkosoa rais Trump

Josephat Charo
22 Februari 2017

Rais Trump akosolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International. Mahakama kuu ya Gauteng yapinga nia ya serikali ya Afrika Kusini kujitoa mahakama ya ICC. Na Bayer Leverkusen yapata pigo katika kombe la mabingwa Ulaya.

https://p.dw.com/p/2Y5Ik