Ajali ya Ndege ya shirika la Kenya Airways nchini Kamerun | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 07.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Ajali ya Ndege ya shirika la Kenya Airways nchini Kamerun

Serikali ya Kamerun imetoa taarifa kwamba ndege ya shirika la Kenya iliyotoweka jumamosi alfajiri imepatikana kwenye msitu wa kusini mashariki mwa mji wa Douala.

Ndege ya Kenya Airways iliyoanguka huko Kamerun

Ndege ya Kenya Airways iliyoanguka huko Kamerun

Zainab Aziz amezungumza na waziri wa uchukuzi wa Kenya Chirau Ali Mwakwere ambaye anaongoza ujumbe wa Kenya nchini Kamerun.

Mheshimiwa Mwakwere anaelezea ni yepi yaliyofikiwa hadi sasa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com