1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ajali ya Mgodi Afrika Kusini

Huko nchini Afrika Kusini kumetokea ajali ya mgodi ambapo wachimba migodi 3,200 walikwama tangu chini ya mgodi wa dhahabu wa Hamony-ellandsrand katika kijiji cha Kaltonville kuanzia jana jioni. Imearifiwa shughuli ya uokoaji inaendelea katika mgodi huo.

Wachimbaji migodi wa Afrika Kusini.

Wachimbaji migodi wa Afrika Kusini.

Kutaka kujua hali ya mambo kuhusu ajali hiyo, Saumu Mwasimba amezungumza na mwandishi habari aliyeko Afrika Kusini Anderson Kalu.