1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Madaktari wa Tanzania wasitisha mgomo wao

15 Februari 2012

Bara la Afrika katika kipindi cha wiki iliyopita, limeshuhudia mgomo wa madaktari nchini Tanzania ukikuwa na kumalizika, muswada wa mashoga nchini Uganda ukipigwa danadana.

https://p.dw.com/p/141y1
Afrika Wiki Hii
Afrika Wiki Hii

Kusikiliza makala ya Afrika Wiki Hii na Daniel Gakuba, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Afrika Wiki Hii
Mtayarishaji: Daniel Gakuba
Mhariri: Josephat Charo