Afrika Kusini: Ghasia mjini Johannesburg | Matukio ya Afrika | DW | 01.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Afrika Kusini: Ghasia mjini Johannesburg

Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimemfukuza chamani kiongozi wake mashuhuri wa vijana wa chama hicho, Julius Malema.

Julius Malema,kiongozi wa chama cha ANC wa vijana

Julius Malema,kiongozi wa chama cha ANC wa vijana

Kitendo hicho kimezusha mmeguko ndani ya chama na kuzusha vurugu katika maeneo kadhaa ya nchini humo.

Sudi Mnette amezungumza hivi punde na mwandishi wetu wa mjini Johannesburg, Issac Khomo, ambaye alielzea hali ilivyo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo, tadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada