Abuja. Ndege yaanguka na kuuwa abiria wote. | Habari za Ulimwengu | DW | 29.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Abuja. Ndege yaanguka na kuuwa abiria wote.

Ndege moja ya Nigeria ikiwa na abiria wapatao 100 imeanguka muda mfupi baada ya kuruka kutoka mji mkuu wa Nigeria Abuja.

Ndege hiyo imeripotiwa kuwa ilikuwa inaelekea katika mji wa kaskazini wa Sokoto.

Inahofiwa kuwa abiria wote katika ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la binafsi la ADC wamekufa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com