1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.08.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S31 Agosti 2017

Rais wa Marekani, Donald Trump na waziri wake wa ulinzi wametoa kauli zinazotofautiana kuhusu Korea Kaskazini, huku Trump akisema kuwa mazungumzo sio jibu la kuondoa wasiwasi uliopo kuhusu majaribio ya makombora ya nyuklia yanayorushwa na Korea Kaskazini// Walinzi wa mipaka nchini Bangladesh wamepata miili 20 ya wanawake na watoto wa jamii ya Rohingya ambao boti yao ilizama.

https://p.dw.com/p/2j9MS