1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.01.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S31 Januari 2017

Umoja wa Afrika sasa umepata Rais mpya wa halmashauri kuu ya Umoja huo. Yeye ni waziri wa mambo ya nchi za nje wa Chad Moussa Faki Mahamat, aliyechaguliwa kwa kura 39 kati ya 54 za nchi wanachama// Rais wa Marekani Donald Trump anasema hatua yake ya kuzuia wahamiaji kutoka mataifa saba yenye idadi kubwa ya wahamiaji na marufuku ya wakimbizi vimefanyika kwa misingi ya usalama wa taifa.

https://p.dw.com/p/2WgrC