Deutsche Welle:China imetoa wito raia wake 29 waliotekwa nyara na waasi wa Sudan waachiwe huru haraka. Inatuma ujumbe Sudan kuharakisha ufumbuzi wa mzozo huo.
Baraza la Seneti la Marekani limeidhinisha Jumanne usiku, kifurushi cha msaada wa mabilioni ya dola kwa Ukraine, Israel na Taiwan.
Makundi ya makabila madogo yaliyojihami kwa silaha nchini Myanmar, yanayopigana na utawala wa kijeshi nchini humo, yamesema kuwa yameliteka eneo la kibiashara la Namhsan katika jimbo la Shan
Watu 60 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa usiku wa Jumapili katika Ukanda wa Gaza. Marekani imesema kamwe haitosita kuendelea na harakati za kutaka kuachiwa kwa mateka waliochukuliwa na kundi la Hamas.