1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S30 Novemba 2016

Mfalme wa kimila nchini Uganda Jumanne hii amefunguliwa mashitaka ya mauaji na kupelekwa kwenye kizuizi chenye ulinzi mkali// Miaka 22 baada ya mauaji ya halaiki, Rwanda imetangaza kuwashitaki mahakamani wafaransa 20// Rais wa Tanzania John Magufuli ameibatilisha hati miliki ya kipande kikubwa cha shamba la aliyekuwa waziri mkuu Fredrick Sumaye kwa sababu halikuwa limeendelezwa.

https://p.dw.com/p/2TVb4