1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SK2 / S02S30 Oktoba 2016

Tuliyonayo katika matangazo ya jioni ni pamoja na; Waziri Mkuu wa canada Justin Trudeau na viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimae wamesaini makubaliano ya kihistoria ya biashara// Majeshi ya Iraq yamewauwa wapiganaji 747 wa Dola la Kiislamu karibu na Mosul // Majeshi ya serikali nchini Syria pamoja na waasi wameendelea kupambana katika eneo la magharibi la mji wa Aleppo.

https://p.dw.com/p/2RuPe