Mkutano wa kilele wa viongozi wa Afrika na wa Ulaya umeanza leo mjini Tripoli, Libya kujadili biashara, uchumi na uhamiaji .