1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.12.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S28 Desemba 2017

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto UNICEF, limesema mwaka 2017 ulikuwa miongoni mwa mibaya zaidi kwa watoto wanaoishi katika maeneo ya vita na mizozo// Watu 40 wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa kufuatia milipuko iliyotokea katika kituo cha kitamaduni cha Kishia mjini Kabul.

https://p.dw.com/p/2q2Va