1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.09.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S28 Septemba 2017

Serikali ya Pakistan na makundi ya Kiislamu yanaikosoa Myanmar kwa kuwatesa waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine// Makundi ya Kiyahudi ndani ya Ulaya na Marekani yameelezea wasiwasi wao kufuatia mafanikio ya chama cha siasa kali za mrengo wa kulia kinachojiita chama mbadala kwa Ujerumani AfD.

https://p.dw.com/p/2kqZL