Manchester United ilikuwa nusra iangfushwe na Bale katika michuano ya kuania ubingwa huku Manchester City ikitwangwa mawili kwa bila na Bayern Munich.