1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.07.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S28 Julai 2017

Mpango wa muungano wa upinzani nchini NASA kuwashawishi wafuasi wake kutwaa kituo cha kupiga kura inaendelea kupingwa huku wadau wakihoji kwamba haiambatani na sheria// Urusi imeiamuru Marekani kupunguza idadi ya wanadiplomasia na maafisa wake wengine walioko katika ubalozi wa Moscow// Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al Aqsa imemalizika kwa amani kuliko ilivyokuwa ikitarajiwa.

https://p.dw.com/p/2hKaa