1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.06.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S28 Juni 2017

Kenya: Jubilee na NASA wameweka hadharani ilani zao cha uchaguzi katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Hali ya mambo sio shwari katika mpaka kati ya Tanzania na Kenya wa Namanga. Ujerumani: Wanasiasa na mashirika yasiyo ya kiserikali yanasema hatua kadhaa za usalama zilizochukuliwa zimekwenda mbali mno na zinaathiri uhuru wa mtu binafsi.

https://p.dw.com/p/2fXFY