1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Aprili 2017

Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis ameanza ziara nchini Misri, katika juhudi za kuhimiza maelewano kati ya Wakristu na Waislamu na kuepusha ghasia zinazofanywa kwa kutumia jina la Mungu// Ujerumani imekataa madai ya mataifa wenziwe wanachama wa Umoja wa Ulaya kuzuia Uturuki kujiunga na Umoja huo.

https://p.dw.com/p/2c69K