1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.02.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S28 Februari 2017

Marekani inapanga kuhutubia baraza la haki za binaadam la Umoja wa Mataifa wiki hii mjini Geneva// Wanasiasa wakongwe nchini Ufaransa pamoja na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesema kuwa kutokana na mambo yalivyo huenda Le Pen akawa na nafasi nzuri ya kunyakua ushindi na kuwa rais mpya wa Ufaransa katika uchaguzi wa mwezi Mei.

https://p.dw.com/p/2YMdy