Mkutano wa wafadhili kutafuta msaada wa fedha ili kupambana na hali mbaya ya ukame na njaa katika pembe ya Afrika kufanyika leo mjini Nairobi.