1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2017 Taarifa ya Asubuhi

V2 / S12S27 Juni 2017

Mahakama ya Juu ya Marekani imeruhusu kuanza tena kutekelezwa kwa sehemu marufuku ya usafiri iliyotangazwa na Rais Donald Trump // Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema raia wa Umoja wa Ulaya wanaoishi nchini humo lazima watume ombi la kubakishwa haki zao baada ya Brexit // Na Jeshi la Chad limelifurusha kundi la Boko Haram kutoka kwenye visiwa vitano vya Mto Chad

https://p.dw.com/p/2fRrI