1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Aprili 2017

Raila Amollo Odinga ndiye mgombea Urais wa muungano wa Upinzani “Super National Alliance” - NASA// Kumetiwa saini ajenda maalumu ya utekelezwaji wa mkataba wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliamua kuvunja matumaini ya Uingereza kwamba kujitoa kwao katika Umoja wa Ulaya kutakuwa na athari ndogo katika mahusiano.

https://p.dw.com/p/2c1yi