Wazima moto wapambana kuudhibiti moto mkubwa unaowaka mwituni kwa siku ya tatu mfululizo kaskazini ya Ugiriki,Umoja wa Ulaya kutuma msaada.