1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.05.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S26 Mei 2017

Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa 7 yaliyoendelea duniani unaanza hii leo katika mji wa Taormina nchini Italia// Wanasiasa Uingereza wanarejea katika harakati za kampeni leo huku suala la usalama wa kitaifa likiwa juu kwenye ajenda// Rais wa serikali ya visiwa vya Komoro Azali Azali Assouman ametimiza mwaka mmoja madarakani.

https://p.dw.com/p/2dblb