Deutsche Welle: Wanamgambo wa jimbo la Darfur wamemchagua Gibril Ibrahim kukamata nafasi ya nduguye Khalil aliyeuliwa Disemba mwaka jana na wanajeshi wa Sudan.
Umoja wa Mataifa Umeonya takriban watu 800,000 nchini Sudan wapo katika "hatari kubwa" huku ghasia zinazozidi kuongezeka zinatishia "kuchochea mapigano ya umwagaji damu" kati ya jamii mbalimba katika eneo la Darfur."
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limefikisha msaada unaohitajika katika eneo lililoharibiwa na vita la Darfur nchini Sudan na kuonya kuwa hali ya njaa inaweza kuwa mbaya zaidi.
Mzozo uliozuka nchini Sudan mwaka mmoja uliopita umeleta maafa makubwa katika maeneo mengi nchini humo, umesababisha janga la njaa kwa mamilioni ya watu, na kuleta mgogoro wa kibinadamu.