1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.10.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S09S25 Oktoba 2016

Ni mwaka mmoja tokea kufanyika kwa uchaguzi uliyomuingiza madarakani Rais John Magufuli nchini Tanzania// Viongozi wasiopungua 80 wa makampuni mashuhuri ya Afrika Kusini wanataka madai ya udanganyifu dhidi ya waziri wa fedha Pravin Gordhan yafutiliwe mbali// Mzozo wa wakimbizi unazidi kuwa mbaya duniani. Nchini Ujerumani misaada ya kifedha kwa ajili ya wakimbizi inapungua.

https://p.dw.com/p/2RfS4