Baraza la Wawakilishi la Marekani limeukataa muswada wa kuruhusu nchi hiyo kushiriki katika mashambulizi ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO nchini Libya.