1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.05.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S25 Mei 2018

Korea Kaskazini yasema pia iko tayari kwa mazungumzo na Marekani licha ya Rais Donald Trump kuuvunja mkutano uliokuwa ufanyike Singapore tarehe 12 mwezi ujao kati ya Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un// Kansela Angela Merkel wa Ujerumani leo amewasili mjini Shenzhen// Nchini Kenya wimbi la mdudu rushwa limeendelea kuitafuna serikali ya Rais Uhuru Kenyatta.

https://p.dw.com/p/2yKGe