1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Januari 2018

Viongozi wa mataifa makubwa barani Ulaya wametetea suala la biashara huria na ushirikiano wa kimataifa, huku wakielezea mtazamo wao unaopingana na sera ya kujitenga na uzalendo ya Rais wa Marekani, Donald Trump// Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Uturuki Rais Recep Tayyip Erdogan kusitisha operesheni ya kijeshi katika eneo la Kikurdi la Afrin nchini Syria.

https://p.dw.com/p/2rVWn