1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.05.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Mei 2017

Rais Wa Marekani Donald Trump amekuatana na kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis// China imechukua msimamo tofauti kabisa na Marekani kuhusu Korea Kaskazini ikisema hakuna sababu ya kukataa kufanya mdahalo na Korea Kaskazini licha ya msururu wa majaribio ya makombora yaliyokosolewa na baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/2dVNc