1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.04.2018 Matangazo ya Mchana

Oumilkheir Hamidou
24 Aprili 2018

Polisi mjini Toronto wamemtambua dereva aliyewauwa watu 10 pale alipo liendesha gari lake kwa kudhamiria na kuwagonga watu hao waliokuwa wanatembea kandoni mwa barabara// Trump na Macron walikutana ana kwa ana kwa muda wa nusu saa//Viongozi wa Kenya na wadau mbali mbali wanakutana kwa kipindi cha wiki moja kuanzia leo kujadiliana kwa kina mpango wa maendeleo katika serikali za ugatuzi.

https://p.dw.com/p/2wZGw