1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.01.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S24 Januari 2017

Miaka minane iliyopita Barack Obama aliunyooshea mikono ulimwengu wa kiislam na kupendeleza kuwepo aina mpya ya ushirikiano kwa misingi ya kuheshimiana// Ushirika wa vyama vya upinzani vya nchini Burundi CNRED wenye makao yake nje ya nchi hiyo umefanya mkutano na wawakilishi wa mashirika ya kiraia pamoja na Warundi wanaoishi nje ya Burundi.

https://p.dw.com/p/2WIGG