1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.12.2017- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S23 Desemba 2017

Zaidi ya watu 100 wamefariki nchini Ufilipino kufuatia kimbunga.//Urusi imeionya Marekani ikisema kuipa Ukraine silaha hatari itaweza kusababisha umwagikaji wa damu.// Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amchagua mkuu wa majeshi wa zamani Constantino Chiwenga kuwa naibu wake katika chama, hiyo ikiwa hatua ya kwanza kwake kuwa makamu wa rais

https://p.dw.com/p/2pswk