1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

Daniel Gakuba
23 Novemba 2016

23.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

https://p.dw.com/p/2T65I

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump, ajitenga na vuguvugu la wazungu wa misimamo mikali waliomsaidia kupata ushindi, baada ya kumpa saluti ya kinazi, Serikali ya Colombia na kundi la waasi la FARC wamepata makubaliano mapya ya amani, baada ya mengine kukataliwa katika kura ya maoni, Mwanaume raia wa Malawi anayeugua UKIMWI ambaye alilala na wanawake zaidi ya 100 amehukumiwa miaka miwili jela