1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S23 Novemba 2016

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hafurahii kabisa uwezekano wa kufa kwa ushirikiano wa biashara baina ya nchi za Ulaya na Marekani - TPP// Ufaransa sasa imeitisha mkutano wa nchi ambazo zinaunga mkono upinzani nchini Syria ikiwemo Marekani na mataifa ya ghuba// Bunge la Umoja wa Ulaya linatarajiwa hapo kesho Alhamisi kupiga kura ya kuahirisha mazungumzo ya Uturuki kujiunga na umoja huo.

https://p.dw.com/p/2T8N6