Baada ya kutangaza kugombea tena ukansela nchini Ujerumani, Angela Merkel huenda akakabiliwa na mtihani mkubwa katika maisha yake ya kisiasa// Ukuwaji wa matumizi ya mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana nchini Tanzania unatajwa kuwa miongoni mwa sababu za serikali ya huko kuweka sheria ya kukabiliana na uhalifu mitandaoni.