1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2017-Matangazo ya Jioni saa 12:00 (Afrika Mashariki)

John Juma
23 Julai 2017

https://p.dw.com/p/2h1ng

Miongoni mwa yaliyomo kwenye Matangazo ya jioni:

Erdogan awasili Jeddah kujaribu kutafuta suluhisho la mzozo wa Qatar na nchi za Ghuba

Jumuiya ya nchi za Kiarabu yaionya Israel kuhusu mzozo wa Jerusalem

Wayemeni laki sita wako hatarini  kuambukizwa kipindupindu ifikapo mwisho wa mwaka huu

Kamanda wa waasi Libya kukutana na Waziri Mkuu wa Libya Fayez al Serraj mjini Paris katika juhudi za kumaliza mgogoro unaokumba Libya