1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S22 Novemba 2016

Chama kikuu cha mrengo wa kati kushoto nchini Ujerumani kimepuuza shinikizo la kuamua haraka nani atashindana na kansela Angela Merkel uchaguzi mkuu utakapoitishwa mwakani// Magaidi wa Boko Haram wanapoteza udhibiti nchini Nigeria// Licha ya uzuri uliomo wa mitandao ya kijamii, kumezuka kiwango kikubwa cha matusi na kashfa katika kile kinachoitwa Cyber Bullying.

https://p.dw.com/p/2T2pA