1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Februari 2017

Shirika la kimataifa la haki za binaadamu, Amnesty International, limesema mwaka 2016 ulikuwa mwaka mbaya katika suala zima la haki za binaadamu// Utawala wa rais wa Marekani Trump, umetangaza amri mpya juu ya wahamiaji haramu// Baraza la mawaziri la serikali ya Ujerumani leo linaijadili sheria itakayowapa mamlaka maafisa kuzinasaa simu na mawasiliano ya kompyuta ya wanaoomba hifadhi ya ukimbizi.

https://p.dw.com/p/2Y344