1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S22 Februari 2017

Kutokana na China kuamua kutoagiza tena makaa ya mawe kutoka Korea ya Kaskazini hatua hiyo ni sawa kuipiga gongo la kichwa nchi hiyo jiranio// Hali ya wagiriki inazidi kuwa mbaya licha ya miaka saba ya kudhaminiwa na wafadhili// Kiwango cha nishati kinachotumika kwa sasa barani Ulaya ni kidogo ikilinganishwa na kiwango kilichokuwa kikitumika miaka ya 1990.

https://p.dw.com/p/2Y1dS