Deutsche Welle: Katika siku ya pili ya mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika, Cote d'Ivoire inaumana na Sudan na Burkina Faso inashuka dimbani kupambana na Angola.
Miili ya watu wasiopungua 13 imeopolewa kutoka maeneo tofauti ya mji mkuu wa Kenya kufuatia mafuriko+++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema kuwa vikosi vya jeshi nchini Burkina Faso vimewaua raia 223
Hali ya hewa ya El Nino inasababisha hali mbaya ya hewa kwenye mataifa ya Afrika Mashariki+++Wakati mafuriko yakishuhudiwa katika baadhi ya nchi, wachuuzi wa mitaani katika mji mkuu wa Mali wa Bamako wanauza mifuko ya maji
Misumari na nyundo kwa Dina zimekuwa nyenzo muhimu katika kusimulia hadithi zilizojaa changamoto, uzuri na upekee wa bara la Afrika, hasa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambako anatokea. Sanaa ya kipekee inayosimulia hadithi kwa namna ya kipekee.